MAUZO POS Blog

Business tips, product updates, and success stories

Back to Home
Search
About

Stay updated with the latest business tips, product features, and success stories from MAUZO POS.

Category: Uwekezaji Clear
Uwekezaji Mpango Wangu wa DSE: Namna Natumia Mtaji wa Tsh. 100,000 kuwa Mashine ya Faida
Mpango Wangu wa DSE: Namna Natumia Mtaji wa Tsh. 100,000 kuwa Mashine ya Faida

Charles Chambila Dec 06, 2025 187 views

DSE ni soko ambalo LIQUIDITY (Uwezo wa kuuza haraka) ndiyo kila kitu. Tumeona hata katika Vertex ETF hivi karibuni namna ambavyo wanunuzi na wauzaji h...

Read More
Uwekezaji Uwekezaji Katika Hisa za Marekani na Kenya Ukiwa Tanzania na Nchi Nyingine Duniani
Uwekezaji Katika Hisa za Marekani na Kenya Ukiwa Tanzania na Nchi Nyingine Duniani

Charles Chambila Nov 17, 2025 443 views

Hisa app ni Fintech Solution inayokuwezesha kuwekeza katika masoko ya Hisa ya Marekani na Kenya hata ukiwa na kiasi cha Fedha cha Tsh. 3,000....

Read More
Uwekezaji Jenga Mfumo wa Kipato (Dividend Machine) Kwa Kutunza Tsh. 50,000 Kila Mwezi
Jenga Mfumo wa Kipato (Dividend Machine) Kwa Kutunza Tsh. 50,000 Kila Mwezi

Charles Chambila Nov 17, 2025 268 views

Katika ulimwengu wa uwekezaji Muda (Time) wako wa kuwa na umiliki sokoni ni bora kuliko kupatia muda (timing) wa kununua hisa za kampuni fulani. Anza ...

Read More
Uwekezaji Siri ya Kukuza Pesa. Namna Matajiri Wanaacha Pesa Izae Pesa (Nguvu ya Compounding)
Siri ya Kukuza Pesa. Namna Matajiri Wanaacha Pesa Izae Pesa (Nguvu ya Compounding)

Charles Chambila Nov 15, 2025 177 views

Compounding sio siri ya matajiri; ni nidhamu ambayo matajiri wanaitumia. Anza leo, hata kama unaweka kidogo. Jipe muda na jikaze usile faida. Baada ya...

Read More
Uwekezaji Fahamu Jinsi Msimu wa Sikukuu za Christmas na Ada za Shule Unavyoathiri Bei za Hisa ndani ya DSE
Fahamu Jinsi Msimu wa Sikukuu za Christmas na Ada za Shule Unavyoathiri Bei za Hisa ndani ya DSE

Charles Chambila Nov 14, 2025 268 views

Ukiangalia takwimu za soko kwa miaka mitano iliyopita, utaona kuna kitu fulani kinajirudia kila wakati kati ya mwezi Novemba na Februari. Tunaweza kui...

Read More
Uwekezaji Nuru kwa Wawekezaji Tanzania VIS-ETF Vs Inuka Fund
Nuru kwa Wawekezaji Tanzania VIS-ETF Vs Inuka Fund

Charles Chambila Nov 12, 2025 375 views

Kwa mara ya kwanza historia imeandikwa Tanzania baada ya uzinduzi wa Exchange Traded Fund (ETF) ya kwanza kuzinduliwa, mfuko unaoitwa VIS-ETF. Wakati ...

Read More
Uwekezaji Miemko ya VIS-ETF: Bei Unayonunulia Sokoni ni ya Kweli au Unapigwa na Kuumizwa?
Miemko ya VIS-ETF: Bei Unayonunulia Sokoni ni ya Kweli au Unapigwa na Kuumizwa?

Charles Chambila Nov 07, 2025 326 views

Huenda bei ya VIS-ETF ya sokoni sasa hivi unapigwa. Bei ya VIS-ETF kwa sasa iko juu sana kwa zaidi ya asilimia 40% kulinganisha na bei halisi....

Read More
Uwekezaji Jinsi ya Kuanzisha Biashara Bila Kutumia Pesa Yako: Siri ya Utajiri Kupitia Hati Fungani, Hisa na Mutual Funds
Jinsi ya Kuanzisha Biashara Bila Kutumia Pesa Yako: Siri ya Utajiri Kupitia Hati Fungani, Hisa na Mutual Funds

Charles Chambila Oct 26, 2025 107 views

ukweli ni kwamba, wataalamu wa fedha duniani hutumia mali walizonazo kama dhamana (collateral) ili kupata mikopo au kuwekeza zaidi — bila kutoa pesa...

Read More
Uwekezaji Uza Kiwanja Uwekeze Katika Hati Fungani. Faidi ni Kubwa Kuliko Kiwanja
Uza Kiwanja Uwekeze Katika Hati Fungani. Faidi ni Kubwa Kuliko Kiwanja

Charles Chambila Oct 26, 2025 85 views

kwa mtazamo wa kifedha wa kisasa, kumiliki kiwanja pekee si kila mara uwekezaji wenye faida kubwa. Kuna njia nyingine bora zaidi za kuongeza thamani y...

Read More